Congolese Congregation

Buffalo is one church with two gatherings. We are thankful to share our space with our brothers and sisters from Central Africa.

Every Saturday from 9am–12pm they meet for prayer and teaching.

They gather Sundays in the upstairs sanctuary from 2pm–4pm for worship.

Please reach out to Pastor Felix @ info@buffalopresbyterian.com

Kanisa la Buffalo lina mikusanyiko miwili. Tunashukuru kushiriki nafasi yetu na ndugu zetu kutoka Afrika ya Kati. Kila Jumamosi kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana wanakutana kwa ajili ya maombi na mafundisho. Wanakusanyika Jumapili katika patakatifu pa juu kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi jioni kwa ajili ya ibada.

Tafadhali wasiliana na Mchungaji Felix.